Dira
"Kuendelea kuwa mshirika hakika na wa kuaminika katika uwekezaji utakaoleta mabadiliko chanya kwenye maisha ya watu.".
Dhima
"Kutoa huduma zenye ubunifu, faida na ufanisi utakaokidhi matarajio ya wadau.".
"Kuendelea kuwa mshirika hakika na wa kuaminika katika uwekezaji utakaoleta mabadiliko chanya kwenye maisha ya watu.".
"Kutoa huduma zenye ubunifu, faida na ufanisi utakaokidhi matarajio ya wadau.".
Tunazingatia uwazi katika shughuli zote za uwekezaji.
Tunafanya shughuli zetu za uwekezaji kwa uaminifu na uadilifu wa hali ya juu.
Tunafanya kazi kwa pamoja ili kuhakikisha tunatoa huduma bora kwa wawekezaji wetu.
Tunathamini watu kwa usawa na haki.
Tunafanya kazi kwa juhudi ili kutoa huduma kwa ufanisi wa hali ya juu.
Tunashiriki katika shughuli za maendeleo ya jamii.