• Mfuko wa Umoja
  • Mfuko wa Wekeza Maisha
  • Mfuko wa Watoto
  • Mfuko wa Kujikimu
  • Mfuko wa Ukwasi
  • Mfuko wa Hati Fungani

Mfuko wa Umoja

Date: Tuesday, 17th of December 2024
Net Asset Value (Tsh) Outstanding Number of Units (Tsh) Net Asset Value Per Unit (Tsh) Sale Price Per Unit (Tsh) Repurchase Price Per Unit (Tsh)
368, 976, 797, 067.5480 337, 543, 574.1745 1,093.1235 1,093.1235 1,082.1922

Mfuko wa Wekeza Maisha

Date: Tuesday, 17th of December 2024
Net Asset Value (Tsh) Outstanding Number of Units (Tsh) Net Asset Value Per Unit (Tsh) Sale Price Per Unit (Tsh) Repurchase Price Per Unit (Tsh)
18, 777, 653, 200.1418 19, 406, 690.6499 967.5866 967.5866 948.2348

Mfuko wa Watoto

Date: Tuesday, 17th of December 2024
Net Asset Value (Tsh) Outstanding Number of Units (Tsh) Net Asset Value Per Unit (Tsh) Sale Price Per Unit (Tsh) Repurchase Price Per Unit (Tsh)
23, 745, 936, 535.1110 33, 323, 951.2459 712.5787 712.5787 705.4529

Mfuko wa Kujikimu

Date: Tuesday, 17th of December 2024
Net Asset Value (Tsh) Outstanding Number of Units (Tsh) Net Asset Value Per Unit (Tsh) Sale Price Per Unit (Tsh) Repurchase Price Per Unit (Tsh)
32, 092, 169, 834.4523 175, 118, 959.7911 183.2593 183.2593 179.5941

Mfuko wa Ukwasi

Date: Tuesday, 17th of December 2024
Net Asset Value (Tsh) Outstanding Number of Units (Tsh) Net Asset Value Per Unit (Tsh) Sale Price Per Unit (Tsh) Repurchase Price Per Unit (Tsh)
1, 340, 707, 042, 091.3201 3, 101, 946, 559.3348 432.2147 432.2147 432.2147

Mfuko wa Hati Fungani

Date: Tuesday, 17th of December 2024
Net Asset Value (Tsh) Outstanding Number of Units (Tsh) Net Asset Value Per Unit (Tsh) Sale Price Per Unit (Tsh) Repurchase Price Per Unit (Tsh)
753, 537, 377, 985.9900 6, 357, 421, 147.6795 118.5288 118.5288 118.5288
Kutoka Kwa Mkurugenzi Mtendaji

Karibu UTTAMIS.
Uwekezaji katika mifuko ya pamoja ni rahisi kuliko unavyofikiria. Ni njia nzuri ya kukuza mtaji kwa wale wenye malengo ya muda mfupi, kati na ya muda mrefu. Mifuko hii ni aina ya uwekezaji wa pamoja ambayo inaruhusu wawekezaji walio na malengo sawa kuwekeza fedha zao kwa pamoja kwenye jalada la dhamana au mali zingine.

Mifuko ya Uwekezaji

✻✻✻

Mfuko wa Umoja

Mfuko wa Umoja ni mfuko wa wazi ambao unamfaa mwekezaji mwenye malengo ya muda mrefu.

Mfuko wa Wekeza Maisha

Mfuko wa wekeza Maisha ni Mfuko wa kwanza kuanzishwa nchini Tanzania ukiwa na faida jumuishi ya bima na uwekezaji.

Mfuko wa Watoto

Mfuko wa watoto ni mfuko wa wazi wenye lengo la kukuza mtaji ili kumsaidia mtoto/mzazi kukidhi gharama za shule.

Mfuko wa Kujikimu

Ni Mfuko wa wazi wenye malengo ya kukuza mtaji na gawio la mara kwa mara.

Mfuko wa Ukwasi

Mfuko huu ni mpango ulio wazi unaotoa njia nyingine ya uwekezaji kwa wawekezaji wanaotaka kuweka fedha zao kwa kipindi cha muda mfupi na katika kiwango kilichopo kwenye ushindani. Hatari/Athari kidogo katika uwekezaji na ukwasi wa hali ya juu ndio dhumuni hasa la mfuko huu.

Mfuko wa Hati Fungani

Ni mfuko unaotoa fursa kwa mwekezaji kuweza kuwekeza na kufurahia faida shindani inayopatikana kwenye hatifungani mbalimbali za Serikali kwa lengo la kukuza mtaji na kupata gawio aidha kwa mpango wa mwezi au nusu mwaka.

Ukubwa wa Mfuko

✻✻✻
Tarehe Jina la Mfuko Ukubwa wa Mfuko Idadi ya Vipande Thamani ya Kipande Bei ya Kununua Kipande Bei ya Kuuza Kipande
17-12-2024 Mfuko wa Umoja 368,976,797,067.5480 337,543,574.1745 1,093.1235 1,093.1235 1,082.1922
17-12-2024 Mfuko wa Wekeza Maisha 18,777,653,200.1418 19,406,690.6499 967.5866 967.5866 948.2348
17-12-2024 Mfuko wa Watoto 23,745,936,535.1110 33,323,951.2459 712.5787 712.5787 705.4529
17-12-2024 Mfuko wa Kujikimu 32,092,169,834.4523 175,118,959.7911 183.2593 183.2593 179.5941
17-12-2024 Mfuko wa Ukwasi 1,340,707,042,091.3201 3,101,946,559.3348 432.2147 432.2147 432.2147
17-12-2024 Mfuko wa Hati Fungani 753,537,377,985.9900 6,357,421,147.6795 118.5288 118.5288 118.5288

Ufanisi wa Mifuko

✻✻✻

Vidokezo vya Uwekaji Akiba kwa Ufanisi

& Uwekezaji

Wekeza kupitia

✻✻✻

0800 112 020

(+255) 22 2137593

uwekezaji@uttamis.co.tz