UTT WEALTH MANAGEMENT

UTT WEALTH MANAGEMENT

UTT AMIS inaukaribisha umma na wawekezaji kwa ujumla kujadili na kushauriana kwa pamoja juu ya uwekezaji na kisha kutengeneza aina ya uwekezaji kwenye soko la mtaji na dhamana.unaoendana na mahitaji ya mwekezaji.

Sifa

Wawekezaji wote, binafsi, mashirika au Taasisi zilizopo ndani na nje ya nchi.

Kiwango cha chini cha kuanza kuwekeza

Shilingi Millioni 100 kwa mpango wa kukuza mtaji, gawio au malipo;

Gharama

Asilimia 1 ya jumla ya rasilimali kwa mwaka.

Mkataba na Sera ya uwekezaji

Uwekezaji huundwa na kusimamiwa kwa kufuata matakwa na mahitaji ya mwekezaji sambamba na lengo.

Ukwasi

Muda wowote mwekezaji anaweza kupunguza sehemu au uwekezaji wake wote. Aidha, hali ya ukwasi unategemea pia na aina ya uwekezaji.

 

UTT AMIS Connect
Loading...