Kikokotoo cha uwekezaji kwa mkupuo
Kikokotoo hiki kinakusaidia kufahamu au kukisia mapato/faida utakayopata kutokana na uwekezaji wa mkupuo. Hivyo unaweza kukadiria ongezeko la fedha zako kwa uwekezaji wowote uliofanya wa mkupuo kwa kutumia kiwango (%) cha faida kinachotarajiwa kwa mwaka na muda (mwaka/miaka) uliochagua kuwekeza.

