• Mfuko wa Umoja
  • Mfuko wa Wekeza Maisha
  • Mfuko wa Watoto
  • Mfuko wa Kujikimu
  • Mfuko wa Ukwasi
  • Mfuko wa Hati Fungani

Mfuko wa Umoja

Date: Monday, 30th of December 2024
Net Asset Value (Tsh) Outstanding Number of Units (Tsh) Net Asset Value Per Unit (Tsh) Sale Price Per Unit (Tsh) Repurchase Price Per Unit (Tsh)
370, 881, 348, 241.7930 337, 284, 765.2942 1,099.6090 1,099.6090 1,088.6129

Mfuko wa Wekeza Maisha

Date: Monday, 30th of December 2024
Net Asset Value (Tsh) Outstanding Number of Units (Tsh) Net Asset Value Per Unit (Tsh) Sale Price Per Unit (Tsh) Repurchase Price Per Unit (Tsh)
19, 083, 494, 107.4697 19, 663, 237.1244 970.5164 970.5164 951.1061

Mfuko wa Watoto

Date: Monday, 30th of December 2024
Net Asset Value (Tsh) Outstanding Number of Units (Tsh) Net Asset Value Per Unit (Tsh) Sale Price Per Unit (Tsh) Repurchase Price Per Unit (Tsh)
23, 959, 701, 889.5192 33, 498, 099.5422 715.2556 715.2556 708.1030

Mfuko wa Kujikimu

Date: Monday, 30th of December 2024
Net Asset Value (Tsh) Outstanding Number of Units (Tsh) Net Asset Value Per Unit (Tsh) Sale Price Per Unit (Tsh) Repurchase Price Per Unit (Tsh)
32, 159, 062, 348.7535 175, 059, 691.7264 183.7034 183.7034 180.0293

Mfuko wa Ukwasi

Date: Monday, 30th of December 2024
Net Asset Value (Tsh) Outstanding Number of Units (Tsh) Net Asset Value Per Unit (Tsh) Sale Price Per Unit (Tsh) Repurchase Price Per Unit (Tsh)
1, 353, 923, 934, 546.7500 3, 120, 575, 905.8201 433.8699 433.8699 433.8699

Mfuko wa Hati Fungani

Date: Monday, 30th of December 2024
Net Asset Value (Tsh) Outstanding Number of Units (Tsh) Net Asset Value Per Unit (Tsh) Sale Price Per Unit (Tsh) Repurchase Price Per Unit (Tsh)
765, 723, 299, 431.9990 6, 403, 889, 680.5888 119.5716 119.5716 119.5716
Kutoka Kwa Mkurugenzi Mtendaji

Karibu UTTAMIS.
Uwekezaji katika mifuko ya pamoja ni rahisi kuliko unavyofikiria. Ni njia nzuri ya kukuza mtaji kwa wale wenye malengo ya muda mfupi, kati na ya muda mrefu. Mifuko hii ni aina ya uwekezaji wa pamoja ambayo inaruhusu wawekezaji walio na malengo sawa kuwekeza fedha zao kwa pamoja kwenye jalada la dhamana au mali zingine.

Mifuko ya Uwekezaji

✻✻✻

Mfuko wa Umoja

Mfuko wa Umoja ni mfuko wa wazi ambao unamfaa mwekezaji mwenye malengo ya muda mrefu.

Mfuko wa Wekeza Maisha

Mfuko wa wekeza Maisha ni Mfuko wa kwanza kuanzishwa nchini Tanzania ukiwa na faida jumuishi ya bima na uwekezaji.

Mfuko wa Watoto

Mfuko wa watoto ni mfuko wa wazi wenye lengo la kukuza mtaji ili kumsaidia mtoto/mzazi kukidhi gharama za shule.

Mfuko wa Kujikimu

Ni Mfuko wa wazi wenye malengo ya kukuza mtaji na gawio la mara kwa mara.

Mfuko wa Ukwasi

Mfuko huu ni mpango ulio wazi unaotoa njia nyingine ya uwekezaji kwa wawekezaji wanaotaka kuweka fedha zao kwa kipindi cha muda mfupi na katika kiwango kilichopo kwenye ushindani. Hatari/Athari kidogo katika uwekezaji na ukwasi wa hali ya juu ndio dhumuni hasa la mfuko huu.

Mfuko wa Hati Fungani

Ni mfuko unaotoa fursa kwa mwekezaji kuweza kuwekeza na kufurahia faida shindani inayopatikana kwenye hatifungani mbalimbali za Serikali kwa lengo la kukuza mtaji na kupata gawio aidha kwa mpango wa mwezi au nusu mwaka.

Ukubwa wa Mfuko

✻✻✻
Tarehe Jina la Mfuko Ukubwa wa Mfuko Idadi ya Vipande Thamani ya Kipande Bei ya Kununua Kipande Bei ya Kuuza Kipande
30-12-2024 Mfuko wa Umoja 370,881,348,241.7930 337,284,765.2942 1,099.6090 1,099.6090 1,088.6129
30-12-2024 Mfuko wa Wekeza Maisha 19,083,494,107.4697 19,663,237.1244 970.5164 970.5164 951.1061
30-12-2024 Mfuko wa Watoto 23,959,701,889.5192 33,498,099.5422 715.2556 715.2556 708.1030
30-12-2024 Mfuko wa Kujikimu 32,159,062,348.7535 175,059,691.7264 183.7034 183.7034 180.0293
30-12-2024 Mfuko wa Ukwasi 1,353,923,934,546.7500 3,120,575,905.8201 433.8699 433.8699 433.8699
30-12-2024 Mfuko wa Hati Fungani 765,723,299,431.9990 6,403,889,680.5888 119.5716 119.5716 119.5716

Ufanisi wa Mifuko

✻✻✻

Vidokezo vya Uwekaji Akiba kwa Ufanisi

& Uwekezaji

Wekeza kupitia

✻✻✻

0800 112 020

(+255) 22 2137593

uwekezaji@uttamis.co.tz